Fuata link ifuatayo kuona matokeo ya Jumla ya mtihani wa PRE MOCK uliofanyika mwezi wa kumi na Moja 2018. https://drive.google.com/file/d/16tg__5c87WJmJLPmxapuCFQxF-f0kRo2/view?usp=drivesdk Uongozi wa shule unatoa shukrani kwa wazazi na wanafunzi kwa ushirikiano mlio uonyesha katika muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2018/19.Pia tunawakumbusha wanafunzi kuwahi kurudi shuleni kwa wakati wakiwa na vifaa kwa ajili mitihani ya Mock na Taifa. Tunawatakia Heri ya Mwaka mpya 2019. Mara Secondary School.
This is an official blog for Mara Secondary School established for the purpose of communicating with parent and student concerning different programs,activities including examination timetable,examination results,etc. We welcome you all,if there is anything please leave a comment at the post of your concern. Thank you.