Fuata link ifuatayo kuona matokeo ya Jumla ya mtihani wa PRE MOCK
uliofanyika mwezi wa kumi na Moja 2018.
https://drive.google.com/file/d/16tg__5c87WJmJLPmxapuCFQxF-f0kRo2/view?usp=drivesdk
Uongozi wa shule unatoa shukrani kwa wazazi na wanafunzi kwa ushirikiano mlio uonyesha katika muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2018/19.Pia tunawakumbusha wanafunzi kuwahi kurudi shuleni kwa wakati wakiwa na vifaa kwa ajili mitihani ya Mock na Taifa.
Tunawatakia Heri ya Mwaka mpya 2019.
Mara Secondary School.
Bado matokeo siyo mazuri waongeze jitihada ktk usomaji wa masomo yao hakuna lisilowezekana.
ReplyDelete