Skip to main content

OVERAL PRE MOCK EXAMINATION RESULT 2018

Fuata link ifuatayo kuona matokeo ya Jumla ya mtihani wa PRE MOCK
uliofanyika mwezi wa kumi na Moja 2018.

https://drive.google.com/file/d/16tg__5c87WJmJLPmxapuCFQxF-f0kRo2/view?usp=drivesdk

Uongozi wa shule unatoa shukrani kwa wazazi na wanafunzi kwa ushirikiano mlio uonyesha katika muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2018/19.Pia tunawakumbusha wanafunzi kuwahi kurudi shuleni kwa wakati wakiwa na vifaa kwa ajili mitihani ya Mock na Taifa.

Tunawatakia Heri ya Mwaka mpya 2019.

Mara Secondary School.

Comments

  1. Bado matokeo siyo mazuri waongeze jitihada ktk usomaji wa masomo yao hakuna lisilowezekana.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog